Wigelekelo
JF-Expert Member
- Sep 2, 2018
- 8,765
- 26,901
Ka Carrasco na mbwembwe zotehehe , ukiwa mwenyewe hayo mambo ya morning glory unayasoma mitandaoni tu , ni wewe na blanket lako tu lol
Kumbe ni ka nyuki ka mashineni
Kameshindwa kukupetpet
Ka Carrasco na mbwembwe zotehehe , ukiwa mwenyewe hayo mambo ya morning glory unayasoma mitandaoni tu , ni wewe na blanket lako tu lol
Nakuangalia tu
Unaujua uvivu? 😂 uvivu wa baridi vile inakataa kukutoa ndani?hapana , naishi karibu na barabara sana . Nitafuata tu
hahaha sawa kaka , asante sana . Imekwisha hiyo .
Jamaa anapenda mashangazi wapi na wapi na mie .
Wigelekelo kimbia hapa chap upasuke kwa wivuhahaha sawa kaka , asante sana . Imekwisha hiyo .
Hatari , sijisikii tu kupika hapa napokaa , Chakula cha mtu mmoja hakinogi . , uvivu ninao lately .Unaujua uvivu?
wake zako wapo hapo ? nisije sutwa bure mie.Wigelekelo kimbia hapa chap upasuke kwa wivu
Mtoto ndo ameshakubali kuja kula Idd kazi kwako
Wapo wote na nimeshawapa taarifa kuwa mrembo Tinsley anakujawake zako wapo hapo ? nisije sutwa bure mie.
Hapo sasa ndio utajikuta ushamtuma boda akuletee kiepeHatari , sijisikii tu kupika hapa napokaa , Chakula cha mtu mmoja hakinogi . , uvivu ninao lately .
IrudieThank u Tin.
Eid Mubarak
Minal lifaidhina mnyama mkali!Miss you more mnyamaah!!
Eid Mubarak!!
Sina hata namba ya boda , yani nikitoka tu hapo nje chipsi zinakuangalia .Hapo sasa ndio utajikuta ushamtuma boda akuletee kiepe
hehe usiwaambie mrembo , maana nilivyochakaa sasa . Sasa sina hata dela , wala nguo ya kujistiri duh .
Mweh sijazoea hahaha sio mvaaji wa khanga mieUnatupia khanga tu inatosha



Santoooo sana Mnyama mkareeeee umetokelezeeiyaaajeeeeee💃