Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Buenos dias. Courtesy of the blue boys in the sky...catch my drift?

20191122_090404.jpg
 
mzee baba unajua dressing code...wanaume wengi unapata anavaa socks nyeupe suruali black etc...wakati inabidi viwe of the same color or close
Nashukur kaka....
Huwa najifunza kupitia mitandao namna kumetisha
ukivaa mkanda mweusi lazima kiatu kiwe cheusi
Ukivaa suruali inabidi ifanane na soksi zako
Pia, muonekano wa mtu kupendeza hauangaliwi na gharama za nguo alizovaa bali ni KIATU mfn mtu akivaa suti ya gharama ata milion af chini akitupia kandambili we unahisi atapendeza??!!

Wanasaikolojia wanasema ukikutana na mtu kitu cha kwanza katika mavazi wanachoangalia ni KIATU af vinafata vingne, jichunguze ata ww
USHAURI; Jitahidi kuvaa kiatu kizuri kiuhalisia utaonekana umependeza ata ukivaa nguo mtumba ila ukivaa nguo bei ghali af kiatu kibaya au kichafu huwez pendeza
Asante
 
Back
Top Bottom