National Anthem
JF-Expert Member
- Aug 9, 2022
- 19,175
- 56,212
π π π upo wapi.. goja nijeNimejaribu kuimagine ninavyo kabwa na pilau huo mudaπππ
Nasubiri muliko kutoka kwako na Carrasco lakini mpaka sasa wapii sijaona
Kaka yangu National Anthem
Nae yupo kimya au bado mpo kwenye mfungo π
Ile ile boss π€ͺAccount # ni ile ile [emoji848]
Karibu sana we utakuwa mtu wa kwanza kunipa mualiko ππ π π upo wapi.. goja nije
Sijaona π§π§π§π§π§π§π§π§Kumbe upooo, wait uone abayaa
ππ hupokei simu sasa, angalia pmKaribu sana we utakuwa mtu wa kwanza kunipa mualiko π
Motivational speakerπ
Hukulowana?Leo nimeongozana na mtoto hapo chuoni kwenu
Walikuwa wametoka kipindi,sasa Ile kutembea akanigonga begani
Alikuwa speed.
Ikabidi asimame,,"ooh sorry huku kananifutafuta bega,kananimassage huku kanatabasamu
Kazuri hakokahandsome,kananukia.
Nikamwambia usijali
Kakaniangalia,nikatabasamu.
Watoto wa chuo bana,sijui alijua na mimi mtoto mwenzie,[emoji1787]
Wakulungwa hawakawiiHapana naanzaje kuwa hivyo .Nipo vile vile
KomaGood morning dear Tinsley
Sitaki kukua etiii. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ulale ukue boss
UmeanzaPole , kesho utakuwa mitaa gani
Wee si mda ule ule jana ulikuwepo niliwekaa, bas had baadae tenaa.Sijaona [emoji47][emoji47][emoji47][emoji47][emoji47][emoji47][emoji47][emoji47]
Nasubiria hapa urudie....
naogopa kuliwa kimasihara hatari . .
afanye ku deposit tu
haya naachaUmeanza