Tinsley
JF-Expert Member
- Nov 16, 2020
- 14,590
- 38,225
Ungempa bonge la smile . Wakaka wanaonukia huwa ni balaaaNdiyo[emoji1787]
Leo alikuwa anakaza shingo,nikamgeukia[emoji23]
Sema mkaka wa leo alikuwa ananukia jamani,nimetamani nimuonjeshe bisi.
Safari ilikuwa fupi.