Leo nimeongozana na mtoto hapo chuoni kwenu
Walikuwa wametoka kipindi,sasa Ile kutembea akanigonga begani
Alikuwa speed.
Ikabidi asimame,,"ooh sorry huku kananifutafuta bega,kananimassage huku kanatabasamu
Kazuri hakokahandsome,kananukia.
Nikamwambia usijali
Kakaniangalia,nikatabasamu.
Watoto wa chuo bana,sijui alijua na mimi mtoto mwenzie,