Dr Lizzy
Platinum Member
- May 25, 2009
- 31,010
- 60,483
😂😂😂Mpaka tegeta itapendeza 🫠ðŸ«
Hela ya kulipia uharibifu iko tayari???
😂😂😂Mpaka tegeta itapendeza 🫠ðŸ«
Zipo pound kadhaaa hapa, tuzichome tuu😂😂😂
Hela ya kulipia uharibifu iko tayari???
Tuanze kuwapoza hao wenye uniform hapo mbele watasaidia kusafisha baadae.Zipo pound kadhaaa hapa, tuzichome tuu
Nipe bajeti yake nikurushie pound ngapi.. uanze wagea chap 😉😉Tuanze kuwapoza hao wenye uniform hapo mbele watasaidia kusafisha baadae.View attachment 2594050
1000 tu....Nipe bajeti yake nikurushie pound ngapi.. uanze wagea chap 😉😉
£ 1000 itatosha kweli ? Nakuongezea £ 9001000 tu....
Nasubiria nitoe kabisa.View attachment 2594065
NjoooNije pm au
Lift ya ndiga ile Audi[emoji39]Sema kingine mdogo wangu.. [emoji4][emoji4]
Mwee [emoji23][emoji23][emoji23]Weee huoni mshepu wotree huo hipss sasa mi hoooii!!![emoji7][emoji7][emoji7]
Mwee [emoji3064]Unaniangusha Saint Anne si ulikuwa hapahapa [emoji847][emoji847][emoji847] na nimejua kufuta basi acha kabisa, ni vumbi tu inabaki [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Wee hio trouser imekutoa balaa!! imekuchongajee mshepu!Mwee [emoji23][emoji23][emoji23]
Sasa kama mimi nina shepu na wewe utasemaje?
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
hahahaha watu wanazoom sana kwa daladalaMwee [emoji3064]
Nilikuwa kwenye daladala
Nachat Kwa manati[emoji23] watu wasije chungulia id yangu maana wanatoa macho hatari.
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Asahivi kuna Land Rover 😊😊Lift ya ndiga ile Audi[emoji39]
Nimechoka daladala
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Huwa wanalewa watotoHuogopi kulewa [emoji3]
Wacha bwana👌🔥Asahivi kuna Land Rover 😊😊
Yaani mtu anakaza machohahahaha watu wanazoom sana kwa daladala
MweeWee hio trouser imekutoa balaa!! imekuchongajee mshepu!