Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Bob Junior alivyo danja na nyie ndio tuna wa kill hivyo hivyo
f2f212c2f35b6781240fa362d6e21b98.jpg
 
Ha hah afadhali wew Mpira mm kilamuda kinakuja kupiga hodi ukifungua anakaa dakika 10 anaaga ukiingia ndani nusu saa nyingi kanakuja Tena"hodi hodi fungua "😂😂😂😂
Hata sijamaliza kuandika kanapiga hodi huko 😀
Ila jaman mazoea yana tabu, huyu mtoto kila match anakuja kwangu kutazama, utadhani vibanda umiza havioni,

Akaaah leo mie sitaki, nataka niwe pekee angu, nashindwa hata kukaa uchi kisa watu lol.
watoto wenginee uwiiiih.
 
Ha hah afadhali wew Mpira mm kilamuda kinakuja kupiga hodi ukifungua anakaa dakika 10 anaaga ukiingia ndani nusu saa nyingi kanakuja Tena"hodi hodi fungua "
Hata sijamaliza kuandika kanapiga hodi huko
ana umri gan huyoo?? Huyu mie yuko 4m 3, kumfukuza naona km atanichukulia vibayaa, naamua kufinyia moyonii tyuuh. Lol.
 
Back
Top Bottom