Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Ila jaman mazoea yana tabu, huyu mtoto kila match anakuja kwangu kutazama, utadhani vibanda umiza havioni,

Akaaah leo mie sitaki, nataka niwe pekee angu, nashindwa hata kukaa uchi kisa watu lol.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] watoto wenginee uwiiiih.
Be careful watoto WA siku hizi hawakawii kupindua mezaaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Be careful watoto WA siku hizi hawakawii kupindua mezaaa

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mtoto wa 4m 3 atanifanya nn mie?? Apindue meza gani? Acheze na watoto wenzake wa sec huko.

Yaan bahati yake ni mwana lunyasi, vinginevyoo leo ningemkataliaa, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom