Selfika na JF: Snap it. Show it

Ukiona hivyo jua walishapigwa tukio
 
Siku hizi matapeli ni wengi Sana,alafu Wana mbinu nyingi.

Hao wamama waliamua kujiongeza mapema ingawa haikuwa kweli.
 
😂😂😂
 
[emoji23][emoji23][emoji23]
Shangazi jana nilicheka km mwendawazimu, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], sasa yule Kaka alivyokuja kwangu na kunionesha project yake ndo nilicheka zaidi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hadi yeye akawa anachekaaa.

Jana sitasahau.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…