cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 112,101
- 181,176
Hapa ni wapiii??
Hapa ni wapiii??
Kumekuchaaaaaa!!!!!!Jahman peaceView attachment 2583677
Mic u mnooo DearMissed you baby girl![]()
Uwe na wakati mwema na masomo mema .. mpe hi genius .




Unataka niaibike tuUmepatia Bro
Mbona upo vyedi tuuh .
Mie nilisoma njano mpauko
kesho tukijaliwa naweza kuwa huku huku maeneo ya Boko hapo . Nipange dearMic u T akee,
Kesho utakuwa wapiii???
Usiseme hivyo kaka , unajua bhanaUnataka niaibike tu
Hiyo lugha usiwe unaniandikia
Nitachapia mabombastic
Halafu isiwe poa
My English is bit to bit
Saint Anne kimbia hapa chap umpokee wifiHahaha aisee naogopa hilo kabila
Nataka wanayaki mie 😅😅
Hahahah , wapogo humble sana hilo kabila au Mbena lol .Saint Anne kimbia hapa chap umpokee wifi
Wabena na Wanyaki mko wapi?Hahahah , wapogo humble sana hilo kabila au Mbena lol .
Kuna Nini?Wabena na Wanyaki mko wapi?
Mnaniamgusha kabisa
Mimi sio kaka yakoUsiseme hivyo kaka , unajua bhana
Kalale tuKuna Nini?
Naweza kuja huko huko kuzururaaa, ntakuambia kesho asubuhikesho tukijaliwa naweza kuwa huku huku maeneo ya Boko hapo . Nipange dear
Hamna ukweli 😀ngoja tu nilaleKalale tu
Malaria ilipanda kichwani
Sasa ana nafuu
Eti wanyaki ni wachawi
Wabena wasengenyaji
Kuna ukweli
Haya MkuuMimi sio kaka yako
Okay dear karibu sana kipande hiki .Naweza kuja huko huko kuzururaaa, ntakuambia kesho asubuhi
hahaha nikuite vipi ,Nina ukuu gani
Usinichulie ebo
Huyo huyoNaniliu
Nini?