Wigelekelo
JF-Expert Member
- Sep 2, 2018
- 8,765
- 26,902
Nilichepuka nyamongo
Chap kwa haraka
Sasa muda narudi
Nikapata ka ton 30
Ka choroko hapo Simiyu
Nikasema siachi Hela[emoji1787]
Tiarawei watajiju na
Karatasi lao la msafirishaji
Hela ikaanza kupungua hapo
Ila sio kivilee