Jack Palladino
JF-Expert Member
- Feb 24, 2018
- 7,245
- 22,552
Cheers mkuu🥂
Cheers mkuu🥂
Tupia pic hapo ulipo tuone unavyoenjoy mkuu!
Acha aje

Hahahaha mzeee dah usisage kunguni.Toka mwanzo niliona huu mualiko umekaa kimchongo zaidi.Ngoja nikampange pm abadilishe mawazo
Nyinyi mnafaidi saana.Acha aje
Tunduma wing![]()
Dada yangu
Cheers🥂Mliokosa mialiko karibuni
Saaafi kabisa😊
@Beeb unaaalikwa huku.Dada yangu
Usie na neno
Na mtu
Heri ya pasaka
Karibu hapa chapwa
Tunduma
Babe Valentina Upo wapi?
duh,kabadili id? Dah naogopa sana mtu anayebadili id
KumbeeTunasheherekea pasaka,huku tukikumbuka mauji ya kimbari kule rwanda
Sometimes in april, kwibuka
