sumbai
JF-Expert Member
- Jun 16, 2014
- 20,890
- 47,611
💋😍❤️💋💋😘💋💋😍😍❤️🤗🤗🤗💕💕💕💜😇♥️💓💖💋😍❤️😍💋💋😘💋💋💞💞💕💕💕😋😋😋😋😋😋😋😋😘💋😍❤️❤️❤️Heri ya pasaka wapendwa..😍😘
View attachment 2582158
Wewe hujapata pesa.Mimi ni MTU_WA_MUNGU mkuuu
Napenda afya yangu isitoshe pombe ni chungu asee siiwezi na wine ni very powerful ina choma maini hivyo huko sipo
Heri na kwako pia BeebHeri ya pasaka wapendwa..😍😘
View attachment 2582158
Na mazara yaliopo kwenye hiyo juisi unayafahamu.?Bora kileo unacorrupt medullaMimi ni MTU_WA_MUNGU mkuuu
Napenda afya yangu isitoshe pombe ni chungu asee siiwezi na wine ni very powerful ina choma maini hivyo huko sipo
Nakunywa kwa staha mkuuuuNa mazara yaliopo kwenye hiyo juisi unayafahamu.?Bora kileo unacorrupt medulla
Nimescreenshort hii picha nimetazama mara tatu mfululizo.Heri ya pasaka wapendwa..😍😘
Hata mimi nime screenshot asee ipo gallery huko nta i edit vyema tuNimescreenshort hii picha nimetazama mara tatu mfululizo.
Heri ya pasaka na wewe
Safi unajua madahara lakini unakunywa Kwa staha😂😂😂.Ushauri wa bure jaribu na konyagi uje na ushuhuda m😅😅😅Nakunywa kwa staha mkuuuu
Sio chakula hiki 😁😁😁
Nimescreenshort hii picha nimetazama mara tatu mfululizo.
Heri ya pasaka na wewe
Nyieeee🙄Hata mimi nime screenshot asee ipo gallery huko nta i edit vyema tu
Aweeee hapana huko siko aseee bora hio pesa ninunue maziwa tuSafi unajua madahara lakini unakunywa Kwa staha😂😂😂.Ushauri wa bure jaribu na konyagi uje na ushuhuda m😅😅😅
Mkuu upo chapu sana.Hata mimi nime screenshot asee ipo gallery huko nta i edit vyema tu
Unadhani ningeiacha we one mistake one goalMkuu upo chapu sana.
Jina lako linasadiki na maandishi yako mkuu.hongera sanaAweeee hapana huko siko aseee bora hio pesa ninunue maziwa tu
Usihofu hatutaitumia kwa matumizi mabaya usikonde mpenzi 😋😋💞😁Nyieeee🙄
Ahsante mjasiri na maliNimescreenshort hii picha nimetazama mara tatu mfululizo.
Heri ya pasaka na wewe
Ahsante sumbai
Mguu wa kuuweka begani huku unapiga nuclear ukraine.. unaweka kama kipago unachia mashambuliziWooow mguu wa bia 😘🔥
Vizuri tukapeana na mwaliko ili mambo yaende mswanoAhsante mjasiri na mali