Al Watani
JF-Expert Member
- Dec 28, 2014
- 21,697
- 32,447
Kuna sehemu nimekuita since yesterday mbona hukwendi, tusije chafua nyuzi ya mganga akaturoga tukakufiana bure.Nakuzoom tuu
Hellow darling..... Nasubiri picha yako kipenzihello.!! my lv.
Njoo njoo njoo,nasema njoo hapa. Unaenda wapi ?!!!Hmm 🏃🏃
Mwambie kilimo chako sio cha wassap@Sanchez anabisha dada
Hahhahha asante babe nitamfikishia salaamHaha sidhani maybe awe anamkaribia, mdogo wako mcute babe
Jamani dada mkubwa nimechochea nini?
Wewe mchocheziii







.... ILa ukweli ana mikono laini, mwili uleule naupendaga mie







Nipe mahela nikupe fullPicha yako ingekuwa full ningeweka wallpaper kwa simu yangu aki vile. Hongera mama
Nasubiria yakoo
Shauri yako... Utapishana na gari ya mshahara ujueView attachment 1217177
HahahahahahahahahahahahahahahaahhahaahhaMimi yangu natuma lakini inagoma. Basi tena.
Hicho tuu jamaniDone wifi ake sema kingineeee
Kuna picha mbili nimeziona humu,zimenifanya nibadili mtazamo kabisa.

Nimetukana nini au nimekosea kuandika ?Hahahahahahahahahahahahahahahaahhahaahha