Nambie kipenzi chetuWifi akeee
Nakuzoom tuu
Naliachia jicho la uchunguzi,sababu sikutegemea kabisa kama vya huko ndio hivi huku.
Jamani jamani kilio tena kiruuuuuu unanivuruga
Hahahaa'😘😘😘 twin vidole
😂🏃🏃
Naomba jezi hunieNambie kipenzi chetu
Fanya hata moja tuShauri yako... Utapishana na gari ya mshahara ujueView attachment 1217177
Hmm 🏃🏃Kuna binti namsubiri atume,akituma napita nae wima.
Done wifi ake sema kingineeeeNaomba jezi hunie
Kwani unataka nini? Huu uzi nimeomba kuondoka kwa maslahi ya taifa.
Ule ukisimama hakuna cha ulaini![]()
![]()
Ningeshangaa ukose la kuongea, ulaini huo ni hadi kwenye mkono ule mwingine.







bado yake pia ili niamue nikae upande gani mazima wewe nimekupa 90% (umepata A)Nakuzoom tuu