cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 116,461
- 188,298
Rangi ya mtume, afu hii miguu km naifahamu.Tz11 [emoji4]View attachment 2581879
[emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]
Rangi ya mtume, afu hii miguu km naifahamu.Tz11 [emoji4]View attachment 2581879
Ubuntu na linux kwa pamoja kwani huwezi kuzi mix 😁Unataka kutumia aina ipi ? Ubuntu, fedora linux, debian..
Ouk!!! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Punguza heka heka, nitakukula Ban [emoji28][emoji28][emoji28]
NaaamMwanangu kiduku mpapaso
Mchuchu Beverlyn umeegemea kwa msomi
sumbai mzee wa hall V
Tuchome zetu nyama
Tusubiri game la arsenal
Nzuri tumia virtual machine kama una pc ina spe nzuri.. Ubuntu unapiga zako VM unaweka kila OS unayotaka kutokana na kazi zakoUbuntu na linux kwa pamoja kwani huwezi kuzi mix 😁
Weekend wapi hiyo Eng mtotoOuk!!! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hivi MTU_WA_MUNGUUbuntu na linux kwa pamoja kwani huwezi kuzi mix [emoji16]
Nimejiunga leo sina id nyingine mkuu umenifananisha labda
Miguu Kama yakoRangi ya mtume, afu hii miguu km naifahamu.
[emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]
Nipo zangu nimelalaa, cna kwa kwenda hata.Weekend wapi hiyo Eng mtoto
Hio visual machine naipataje sasaNzuri tumia virtual machine kama una pc ina spe nzuri.. Ubuntu unapiga zako VM unaweka kila OS unayotaka kutokana na kazi zako
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] huyo kanizidi unene, ila rangi nimemzidi sanaa.
Unakosajeee pa kwendaa 😊 kwenye mji mzito kama huoNipo zangu nimelalaa, cna kwa kwenda hata.
[emoji23][emoji23][emoji23]
Ujiunge LeoNimejiunga leo sina id nyingine mkuu umenifananisha labda
Zipo nyingi.. mie natumia Vmware, au Virtual box.. ila zipo nyingi inategea na matumizi yako na ubanaka niniHio visual machine naipataje sasa
Nina pc nzuri lkn 😁
Oyaa Beverlyn ameshafika????Mimi nimeshanunua ndizi mbivu kama mkiamua kunichunia poa lakini mkae mkijua idd iko pale
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] huyo kanizidi unene, ila rangi nimemzidi sanaa.
We umexipataje hizo mkuuZipo nyingi.. mie natumia Vmware, au Virtual box.. ila zipo nyingi inategea na matumizi yako na ubanaka nini
Acha kuzuga