Wigelekelo
JF-Expert Member
- Sep 2, 2018
- 8,765
- 26,902
KwaniKitimoto kula mwenyewe mtoto mzuri nina nyama yake special acha kunichania mkeka asubuhi na mapemaaa hivi
Nimebisha[emoji1787]
KwaniKitimoto kula mwenyewe mtoto mzuri nina nyama yake special acha kunichania mkeka asubuhi na mapemaaa hivi
Hamna timu ngoja mkandweee Kwanza nyinyi Kama kikundi cha wahuni na kocha wenu klop kaishiwa mbinu.Roho mbaya
Inakusaidia Nini[emoji1787]
ItabidiBeverlyn kaamua kutubariki ka selfie ka pasaka
Chapwa
Wapi hao Zambia kuna mbuzi wa aina mbiliNimepakia mbuzi
Zile za Zambia
Uje ulichinje[emoji1787]
Kabisa atiItabidi
Tumualike hapa Tunduma
Mtoto ni mtamu
Anaonyesha
Hivi klopHamna timu ngoja mkandweee Kwanza nyinyi Kama kikundi cha wahuni na kocha wenu klop kaishiwa mbinu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Pale chuo cha unesiWapi hao Zambia kuna mbuzi wa aina mbili
Chilonga mission nnPale chuo cha unesi
Lavushimanda
Before Mpika
Limekaa kiajabu
Nasubiria ipande tena juu kidogo tenaTz11 [emoji4]View attachment 2581879
UkiteremkaTz11 [emoji4]View attachment 2581879
Sishuki 🤭Ukiteremka
Kwenye hiyo Bajaj
Piga nyingine
Iishie kiunoni
Una tumiguu tu zuri
Hapo hapoChilonga mission nn
Hello
[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]Hapo hapo