Aaliyyah
JF-Expert Member
- Mar 20, 2022
- 20,262
- 49,202
Asante aunt nitafika hapo sio muda mrefuEwaaa... tumeangusha na ng'ombe na mbuziii .. ukuje tukule na ubebee.. usiseme sijakualika
Asante aunt nitafika hapo sio muda mrefuEwaaa... tumeangusha na ng'ombe na mbuziii .. ukuje tukule na ubebee.. usiseme sijakualika
UTanikuta kituoni nakusubiriAsante aunt nitafika hapo sio muda mrefu
Leo namnyoosha
Pasaka wapi we mzeeLeo namnyoosha
Hachomoki
Nifikishie ujumbeWeuwee jicho Kwa mbali [emoji7]
Kitimoto unakula[emoji848][emoji1787][emoji125]Mbona hamtualiki Jamani tunafuturu mapema tu tulete mahot pot [emoji23][emoji23]
Antonnia
Saint Anne IDD haiko mbali mjue[emoji3][emoji3]
Kitimoto kula mwenyewe mtoto mzuri nina nyama yake special acha kunichania mkeka asubuhi na mapemaaa hiviKitimoto unakula[emoji848][emoji1787][emoji125]
Lawama zingine sio[emoji1732]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Leo namnyoosha
Hachomoki
Dogo taratibuPamoja na li stika kuubwa lakini inaonekana wewe pisi kali
😂😂😂Ndo staili yenu ya kutunyima😂😂Kitimoto unakula[emoji848][emoji1787][emoji125]
Lawama zingine sio[emoji1732]
😂😂😂Sina una MKE
Kaa kwa kutulia
[emoji23][emoji23]Nifikishie ujumbe
Mwambie # yangu
Inaanza na 0
Inaishia na 0
Unanijua kwani mkuu 😁MTU_WA_MUNGU unatumia Linux au unaikandia kwenye avatar yako
Beverlyn kaamua kutubariki ka selfie ka pasakaDogo taratibu
Moyo unakita
Mapigo siyasikii
Nimepakia mbuziPasaka wapi we mzee
Lokesheni wapi??Nimepakia mbuzi
Zile za Zambia
Uje ulichinje[emoji1787]
Roho mbaya[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Subiri mkandweee Kama chelseaaa
Sent using Jamii Forums mobile app
Sina una MKE
Kaa kwa kutulia