National Anthem
JF-Expert Member
- Aug 9, 2022
- 19,176
- 56,199
Njoo PM nikuelekeze , mod wamelala si unajua mambo ya pasakaNiwapm mods au? Nimejaribu kuwa PM muda hawajajibu. Nilikuwa najiunga JF kwa mara ya kwanza so nikataka kutumia jina langu la loveness ikasema lipo so ikabidi niongeze hiyo nyingine ila naona hii ID haijakaa kimaadili na wengi wananichukulia kama malaya najiuza sasa nataka nibadilishe hiyo ID. Toka mwaka jana nimejaribu nimeshindwa my.


