Hahah...
Vitanda vibovu vilikopa tu jina toka kwa vitanda halisi vya teremka tukaze, vile vitanda vinasukwa na kamba za ukili almaarufu sana mikoa ya pwani mwa TZ haswa Tanga na Pwani...
Juu yake watandika manyasi/makuti then waweka mswala/busati la kienyeji/mkeka/jamvi, ndio vyawa kama godoro...
Aone dogo
Atoto