Kapachino
JF-Expert Member
- May 23, 2019
- 3,505
- 8,713
Hivi mwezi wa 4 si ndo huu eh?💃💃!!
Hivi mwezi wa 4 si ndo huu eh?💃💃!!
Niliweka hii shougaaangu!! Karibu tuendeleze mkesha wa Easter!!Weka pichaaa nikuonee shouzz,![]()
🤣🤣🤣🤣🏃🏻♀️🏃🏻♀️🏃🏻♀️🏃🏻♀️🏃🏻♀️🏃🏻♀️🏃🏻♀️!! Una kumbukumbu barraaaHivi mwezi wa 4 si ndo huu eh?
Shouzz akee huyoo, byuriyuuuu.Niliweka hii shougaaangu!! Katibu tuendeleze mkesha wa Easter!!
Kamera tyuu dearrrShouzz akee huyoo, byuriyuuuu.
Afu nakuita kwenye story hukujii jamanee!!Umenogaaa mwayaaaa![]()
Story gani nawee tenaaa?? Nitag basAfu nakuita kwenye story hukujii jamanee!!
Ulifanikiwa kusuka kipenziAfu nakuita kwenye story hukujii jamanee!!
haha na ulivo haunanga mbamba!🤣🤣🤣🤣🏃🏻♀️🏃🏻♀️🏃🏻♀️🏃🏻♀️🏃🏻♀️🏃🏻♀️🏃🏻♀️!! Una kumbukumbu barraaa
Nakuitagaa sehemu nyingi kweli!!Story gani nawee tenaaa?? Nitag bas
Sijaona hiyo tag dear.Nakuitagaa sehemu nyingi kweli!!
Nilisuka bado kiduchu sana ntamalizia kesho!!Ulifanikiwa kusuka kipenzi
Jf sikuhizi tag wanazingua kinoumaaaSijaona hiyo tag dear.
Kabesaaa mnywanii nimenyooka ka rulaaahaha na ulivo haunanga mbamba!
Unajua nini Antonnia you remind me of a garden in bloom. Nafikiri ni kwasabab you always look so beautiful, fresh and lovely. mmmwaaaaa 😘♥️Niliweka hii shougaaangu!! Karibu tuendeleze mkesha wa Easter!!
Uliamua kusuka nnNilisuka bado kiduchu sana ntamalizia kesho!!
ila pepa za madogo zikikuzidia usijali!Kabesaaa mnywanii nimenyooka ka rulaaa
Mwenyekiti Nimepitwa nifanyie wepesi!!Niliweka hii shougaaangu!! Karibu tuendeleze mkesha wa Easter!!