Dejane
JF-Expert Member
- Jan 1, 2014
- 51,001
- 72,284
Mi zinanichekesha
Mi zinanichekesha
Utaota mkuu bora ulaleSelfka mkuu
Siwezi kuotaUtaota mkuu bora ulale
pole dear , una nywele nzuri umesuka . Muhimu kichwa kiwe huru .Yaan siwez lala na kitu kichwan nataka niwe huru tu hapa kichwa kinaniuma hata kubana nywele sitaki
Ulale ukue mdogo wangupole dear , una nywele nzuri umesuka . Muhimu kichwa kiwe huru .
Una lips nene
Shuhudia uumbajiUondoe hiyo saa mama mchungaji
Khosipole dear , una nywele nzuri umesuka . Muhimu kichwa kiwe huru .
sijambo kaka , habari za hukoKhosi
Hujambo
Tayari haupo ? Nimuagizie malaika aunt Antonnia zawadi maalumu 🥸🥸🥸Huko sijui
Lakini
Mimi sijambo
Niagize niagize mjomba Wangu nitamfikishia kabisa Wigelekelo asijareeeeTayari haupo ? Nimuagizie malaika aunt Antonnia zawadi maalumu 🥸🥸🥸
oh vyema .. Tunamshukuru Mungu , what a cool weather leoHuko sijui
Lakini
Mimi sijambo


















Mie mzima aunt wangu kipenzi, nikupendae 😘😘
Punguza heka heka na mathusi sawa 🥸🥸Hellowzzzzzzzzzzz!!!
Coca in da house, ndo nimeingia hivyooo na mabegi nimeshatuaaaaa,
Ila sio kwa kifungo hikii, yaan hadi nilisahau km kuna selfika, leo modes mwenyewe kanifuata PM na kunambia niko huru, ila nipunguzee heka heka,
Wapiiiiiii selfikaaa, hebu wekeni picha zenu niwaoneeee, maana kitamboooo sanaaaa.
Nimewamic mnooooooooo!!!!!!!!!!
![]()
Komwe tu limejaa hapoUondoe hiyo saa mama mchungaji



Labda kubana na banio.Kichwa kinaniuma
Huwa nabana na tu na banio nalala kichwa kikiniuma sibani
Hazinisumbui sio ndefu

Si uliona lakini Dada yake Adam ilivyompendezaUtaota mkuu bora ulale
