Kapachino JF-Expert Member Joined May 23, 2019 Posts 3,508 Reaction score 8,720 Mar 30, 2023 #318,501 Bantu Lady said: Havilipiziwagi hivyo, unaweza jikuta unaongezewa malipizi wewe π π π π Click to expand... Hahaha ngachoka
Bantu Lady said: Havilipiziwagi hivyo, unaweza jikuta unaongezewa malipizi wewe π π π π Click to expand... Hahaha ngachoka
Kapachino JF-Expert Member Joined May 23, 2019 Posts 3,508 Reaction score 8,720 Mar 30, 2023 #318,502 sumbai said: Nina folder la .... Wa kipindi hicho. Utaangalia tuu Korean drama kilazima. Ili hoja zangu zikubaliweeView attachment 2571224 Click to expand... Mzee unatisha
sumbai said: Nina folder la .... Wa kipindi hicho. Utaangalia tuu Korean drama kilazima. Ili hoja zangu zikubaliweeView attachment 2571224 Click to expand... Mzee unatisha
Kapachino JF-Expert Member Joined May 23, 2019 Posts 3,508 Reaction score 8,720 Mar 30, 2023 #318,503 Bantu Lady na sumbai ndo mida yenyewe hii! Karibuni karibuni iftari ndugu bila kusahau uji wa pilipili manga
Bantu Lady na sumbai ndo mida yenyewe hii! Karibuni karibuni iftari ndugu bila kusahau uji wa pilipili manga
Satoh Hirosh JF-Expert Member Joined Mar 30, 2021 Posts 7,151 Reaction score 28,874 Mar 30, 2023 #318,504 Antonnia said: Ariya Aaliyyah reo asubuhi Yangu haijakaa poa kabisa mdogo wangu nikikuona ntakua thawaa njoo unibresi pullliiizzzzzzzzzzzzzz! Kwa sauti ya Bantu redi Bantu Lady Click to expand... Madam,Aliweka? Kama hakuweka nadhani huu diyo wakati sahihi kabisa kufanya hivyo!! Aaliyyah
Antonnia said: Ariya Aaliyyah reo asubuhi Yangu haijakaa poa kabisa mdogo wangu nikikuona ntakua thawaa njoo unibresi pullliiizzzzzzzzzzzzzz! Kwa sauti ya Bantu redi Bantu Lady Click to expand... Madam,Aliweka? Kama hakuweka nadhani huu diyo wakati sahihi kabisa kufanya hivyo!! Aaliyyah
sumbai JF-Expert Member Joined Jun 16, 2014 Posts 20,890 Reaction score 47,611 Mar 30, 2023 #318,505 Kapachino said: Bantu Lady na sumbai ndo mida yenyewe hii! Karibuni karibuni iftari ndugu bila kusahau uji wa pilipili manga Click to expand... Thanks saana Kaka. Fanya mpango Leo nimeone mrembo wangu BL na Antoniaaa Fanya makeke mzee wa food testing
Kapachino said: Bantu Lady na sumbai ndo mida yenyewe hii! Karibuni karibuni iftari ndugu bila kusahau uji wa pilipili manga Click to expand... Thanks saana Kaka. Fanya mpango Leo nimeone mrembo wangu BL na Antoniaaa Fanya makeke mzee wa food testing
Bantu Lady JF-Expert Member Joined Jan 9, 2014 Posts 9,871 Reaction score 32,691 Mar 30, 2023 #318,506 Kapachino said: Bantu Lady na sumbai ndo mida yenyewe hii! Karibuni karibuni iftari ndugu bila kusahau uji wa pilipili manga Click to expand... Shukrani Chino Iftar njema... tunakaribia.
Kapachino said: Bantu Lady na sumbai ndo mida yenyewe hii! Karibuni karibuni iftari ndugu bila kusahau uji wa pilipili manga Click to expand... Shukrani Chino Iftar njema... tunakaribia.
Kapachino JF-Expert Member Joined May 23, 2019 Posts 3,508 Reaction score 8,720 Mar 30, 2023 #318,507 sumbai said: Thanks saana Kaka. Fanya mpango Leo nimeone mrembo wangu BL na Antoniaaa Fanya makeke mzee wa food testing Click to expand... Haha hawana shida Hawa! Ngoja baada ya iftar Hope watatubariki tu!!
sumbai said: Thanks saana Kaka. Fanya mpango Leo nimeone mrembo wangu BL na Antoniaaa Fanya makeke mzee wa food testing Click to expand... Haha hawana shida Hawa! Ngoja baada ya iftar Hope watatubariki tu!!
Aaliyyah JF-Expert Member Joined Mar 20, 2022 Posts 20,000 Reaction score 48,521 Mar 30, 2023 #318,508 Satoh Hirosh said: Madam,Aliweka? Kama hakuweka nadhani huu diyo wakati sahihi kabisa kufanya hivyo!! Aaliyyah Click to expand... Nipo niambie
Satoh Hirosh said: Madam,Aliweka? Kama hakuweka nadhani huu diyo wakati sahihi kabisa kufanya hivyo!! Aaliyyah Click to expand... Nipo niambie
Satoh Hirosh JF-Expert Member Joined Mar 30, 2021 Posts 7,151 Reaction score 28,874 Mar 30, 2023 #318,509 Aaliyyah said: Nipo niambie Click to expand... Poa mrembo,nimekuita ili uselfike.
Aaliyyah JF-Expert Member Joined Mar 20, 2022 Posts 20,000 Reaction score 48,521 Mar 30, 2023 #318,510 Ooh sawa badae kidogo bas Satoh Hirosh said: Poa mrembo,nimekuita ili uselfike. Click to expand...
Satoh Hirosh JF-Expert Member Joined Mar 30, 2021 Posts 7,151 Reaction score 28,874 Mar 30, 2023 #318,511 Aaliyyah said: Ooh sawa badae kidogo bas Click to expand... Usisahau kunitag.
Tinsley JF-Expert Member Joined Nov 16, 2020 Posts 14,590 Reaction score 38,225 Mar 30, 2023 #318,512 I think Khosi atashinda Big Brother Titans , Why lol .
Kapachino JF-Expert Member Joined May 23, 2019 Posts 3,508 Reaction score 8,720 Mar 30, 2023 #318,513 Bantu Lady usingizi umegoma kabisa mpaka nihone nanihono ndugu Yangu; unamsaidiaje Chino?? maana Antonnia kaamua nitosa nakuingia mmitini!
Bantu Lady usingizi umegoma kabisa mpaka nihone nanihono ndugu Yangu; unamsaidiaje Chino?? maana Antonnia kaamua nitosa nakuingia mmitini!
Kapachino JF-Expert Member Joined May 23, 2019 Posts 3,508 Reaction score 8,720 Mar 30, 2023 #318,514 Tinsley said: I think Khosi atashinda Big Brother Titans , Why lol . Click to expand... Hivi uko familiar kiasi hiki na hizi mambo!
Tinsley said: I think Khosi atashinda Big Brother Titans , Why lol . Click to expand... Hivi uko familiar kiasi hiki na hizi mambo!
Bantu Lady JF-Expert Member Joined Jan 9, 2014 Posts 9,871 Reaction score 32,691 Mar 30, 2023 #318,515 Kapachino said: Bantu Lady usingizi umegoma kabisa mpaka nihone nanihono ndugu Yangu; unamsaidiaje Chino?? maana Antonnia kaamua nitosa nakuingia mmitini! Click to expand... Hebu lala Chino. Muda wa kuota ndoto nzuri huu π€£π€£π€£π€£π€£π€£
Kapachino said: Bantu Lady usingizi umegoma kabisa mpaka nihone nanihono ndugu Yangu; unamsaidiaje Chino?? maana Antonnia kaamua nitosa nakuingia mmitini! Click to expand... Hebu lala Chino. Muda wa kuota ndoto nzuri huu π€£π€£π€£π€£π€£π€£
Kapachino JF-Expert Member Joined May 23, 2019 Posts 3,508 Reaction score 8,720 Mar 30, 2023 #318,516 Bantu Lady said: Hebu lala Chino. Muda wa kuota ndoto nzuri huu π€£π€£π€£π€£π€£π€£ Click to expand... Navuta vuta mda wa daku Hii ndio mida mizuri ya kuimarisha afya ya macho. Nakutegemea sana
Bantu Lady said: Hebu lala Chino. Muda wa kuota ndoto nzuri huu π€£π€£π€£π€£π€£π€£ Click to expand... Navuta vuta mda wa daku Hii ndio mida mizuri ya kuimarisha afya ya macho. Nakutegemea sana
Bantu Lady JF-Expert Member Joined Jan 9, 2014 Posts 9,871 Reaction score 32,691 Mar 30, 2023 #318,517 Kapachino said: Navuta vuta mda wa daku Hii ndio mida mizuri ya kuimarisha afya ya macho. Nakutegemea sana Click to expand... Daku ni saa 8? Ooh nilisahau kama kuna Daku. Sina hata picha jamani π
Kapachino said: Navuta vuta mda wa daku Hii ndio mida mizuri ya kuimarisha afya ya macho. Nakutegemea sana Click to expand... Daku ni saa 8? Ooh nilisahau kama kuna Daku. Sina hata picha jamani π
Kapachino JF-Expert Member Joined May 23, 2019 Posts 3,508 Reaction score 8,720 Mar 30, 2023 #318,518 Bantu Lady said: Daku ni saa 8? Ooh nilisahau kama kuna Daku. Sina hata picha jamani π Click to expand... Huwezi kukaukiwa wewe! Mwendo ni ule ule si_qoate
Bantu Lady said: Daku ni saa 8? Ooh nilisahau kama kuna Daku. Sina hata picha jamani π Click to expand... Huwezi kukaukiwa wewe! Mwendo ni ule ule si_qoate
Kapachino JF-Expert Member Joined May 23, 2019 Posts 3,508 Reaction score 8,720 Mar 30, 2023 #318,519 Bantu Lady said: Kapachino nafutaaaaa njoo faster Click to expand... Hii ya leo kiboko Antonnia na sumbai Chino kapigwa na kitu kizito na mbantu! Hivi ntalala kweli leo mie bantu?
Bantu Lady said: Kapachino nafutaaaaa njoo faster Click to expand... Hii ya leo kiboko Antonnia na sumbai Chino kapigwa na kitu kizito na mbantu! Hivi ntalala kweli leo mie bantu?
Kapachino JF-Expert Member Joined May 23, 2019 Posts 3,508 Reaction score 8,720 Mar 30, 2023 #318,520 Aaliyyah said: Woyooππ Click to expand... Hawezi futa picha usimqote delete comment yako ndugu