Valentina
R I P
- Oct 12, 2013
- 24,688
- 28,849
Nipo babe!..nimeacha kuchepuka😊
Hongera kwa kuokoka babe wangu kipenziNipo babe!..nimeacha kuchepuka[emoji4]
Karibu mwana mpotevu cocasticKho kho kho kho baada futari
Asante sana babe!..na wewe utulie😊
Nimetulia kama maji mtungini my love [emoji8]Asante sana babe!..na wewe utulie[emoji4]
Uzee huwa mnaupenda sana[emoji1].Kama last born wangu ana huo umri, unaweza kupata picha umri nilionao Babu yenu [emoji2957]
😀😀Uzee mzuri hata mm napenda kuwa lishangazi basi tu ujana hekaheka nyingi😂😂😂Uzee huwa mnaupenda sana[emoji1].
[emoji849][emoji849][emoji3][emoji3]Uzee mzuri hata mm napenda kuwa lishangazi basi tu ujana hekaheka nyingi[emoji23][emoji23][emoji23]
😀😀Uzee mzuri hata mm napenda kuwa lishangazi basi tu ujana hekaheka nyingi😂😂😂
😅😅😅🙌Uzee huwa mnaupenda sana[emoji1].
Umetandikwa[emoji28][emoji28][emoji28][emoji119]
Ndo maana nikasema natamani kwakuwa sinahela😂😂😂Kuwa lishangazi si mpaka uwe vizuri mfukoni sasa, bila hivyo vijana watakuita "Msimbe"
Vijana hawana adabu sikuhizi, ohoo😂😂😂
😀😀Sijakataa jamaniKuwa Li mshangazi
Sio kuvaa dera na wala
Sio kutingisha tako
Ni kuwa na hela
Yaani hela
Wacha weeThrowing-Back Tuesday View attachment 2568690