Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 77,819
- 233,246
baki bwana , nipo nakaa , kumejaa wazaramo tupu , nafanya yangu tu .Watu wa Dar hawafai
Soon narudi kwetu mkoani.
hahaha , mie nimeridhika nacho sasa .Akina sisi![]()
Nikitaka pafume utaniletea ghetto?Watu wa Dar hawafai
Soon narudi kwetu mkoani.
Wiki ijayo nitawaonesha cheti cha kuzaliwa muanze kunipa heshima yanguUmetandikwa
Kwenye mshono![]()
Huko kungenishindabaki bwana , nipo nakaa , kumejaa wazaramo tupu , nafanya yangu tu .
😂hahaha , mie nimeridhika nacho sasa .
Chaaa😂Nikitaka pafume utaniletea ghetto?
Usafi au umefukuzwa na baba mwenye nyumba?😅View attachment 2568511
Ngoja nifanye usafi kabla ya pasaka Lenie umegoma kuja kunipiga tafu leo na unajua am single boy
Kwahiyo ww ndio ulimwambia sio mwenye nyumba kuwa sisafishi vioo wala ndani siyo 😂😂Usafi au umefumuzwa na baba mwenye nyumba?😅
Amechoka tabia zako😅Kwahiyo ww ndio ulimwambia sio mwenye nyumba kuwa sisafishi vioo wala ndani siyo 😂😂
Mwambie kabisa leo nimemaliza usafi sifanyi tena mpaka mwakani au akija putin TzAmechoka tabia zako😅
hahaha , unazoea tu .. Unakaa ndani tuHuko kungenishinda
Waanza kukusema kuwa unajisikiahahaha , unazoea tu .. Unakaa ndani tu
yani mimi nikirudi ni kusalimia na kuweka zangu miziki .. Siku nimegongewa saa nne kupiga stori , unafanya tu kishingo upandeWaanza kukusema kuwa unajisikia
Ndo kazi zangu hzo kukaa ndani
Acha roho mbayaChaaa
Delivery yangu inaishia kituo cha daladala
Umegongewa kupiga stori?yani mimi nikirudi ni kusalimia na kuweka zangu miziki .. Siku nimegongewa saa nne kupiga stori , unafanya tu kishingo upande

hahaha eti huzoeleki , alitaka kujua kama tunaendana kitabia kumbe wapi , nimtajie bar za huku aende , nikamtajia kadhaa .Umegongewa kupiga stori?
Mimi nisivyojua kuchangia mada,mpiga stori mbona atajisikia vibaya..
Yaani sizoeleki.