Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Amarula iko kichwani hapa πŸ™ˆπŸ™ˆπŸ™ˆπŸ™ˆπŸ™ˆπŸ™ˆπŸ™ˆπŸ™ˆ naacha kuandika kwa kweli. Kesho naweza nisivisome πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
Wee Jichanganye unywe ya baridi sana ikufanye kitu mbaya kama ile siku!!
Hahahahaaaa..
Naona Imekolea kweri kweri 🀭😊
 
Kimaso maso aah
Umenifuta machozi
Umenifuta jasho aah
Nimesahau machungu
Naenjoy kwako aah
Niko dunia nyingine eeh
Nitachonga barabara
Ya mapenzi nipite nawe
Iwe imara imara
Kwa ujenzi kokoto mawe

Naomba sana sala
Kwa Mwenyezi nizikwe nawe
Unang'ara ng'ara mbalamwezi
Sa acha ni mine

Oh my God
I feel so lucky
To have you in my life
Oh my love, you are the blessing brought for me from above

Oh my love, I'll be your man forever
Will you be my wife?
Baba Lord atulinde mi nawe
Together for life, yeah

Unapendeza sana sana (Zue, Zuena)
Unanimaliza sana sana (Zue, Zuena)
Zuena aah (Zue, Zuena)
Zuena, oh I love you (Zue, Zuena)

Zue, Zue, Zue, Zuena, Zuena
Zue, Zue, Zue, Zuena, Zuena

Kanitoa bahari ya kusi
Kanileta mashariki (Zuena)
Huyu sungura, mwenye nyeupe nyusi
Hizi mbichi haziliki (Zuena)

Nikupindue pindue
Kama nageuza samaki (Samaki)
Wasiojua wajue
Nimekupenda sikuachi
Hili song ukiliimba wakati mambo yapo vizuri kwenye penzi lazima ujikute Dunia you're unaimiliki wewe. Ila ikiwa vinginevyo....!!
 
"Yupi yamo yupi pasi" unajua umeshondikana wewe hahahaπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™Œ 🀣

Sasa sisi hawa mabinti wanavowakodolea 😳😳Walimu wa kiume hadi walimu wamesalutiπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™Œ

Yani unakuta ile ameingia tu macho yote maeneoooi😳😳😳😳😳😳Anaelekeza mabinti 😳😳😳😳mpaka Wengine wameamua hawachomekei sikuhizi kisa watoto khakhakhaaaa!!
Hii tabia sikumbuki imeanza lini, ila ninayo tu. Naangalia na hakuna hata cha maana nafanya. Mazoea tu kama wao wanavyogeuka tukipita. Nao tunawaanzia mbele kuwaangalia πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
"Yupi yamo yupi pasi" unajua umeshondikana wewe hahaha

Sasa sisi hawa mabinti wanavowakodolea Walimu wa kiume hadi walimu wamesaluti

Yani unakuta ile ameingia tu macho yote maeneoooiAnaelekeza mabinti mpaka Wengine wameamua hawachomekei sikuhizi kisa watoto khakhakhaaaa!!
Kwa nini mnapenda kutuangalia kwenye zipu?

Juzi natoka night shift saa moja,kidogo hali ilikuwa siyo hali maana niliisinzia asubuhi kwenye kiti,nilipoamka tu nikasimamisha. Yule mdada alipokuja kuchukua report ya kazi ya usiku Cha kwanza macho yake yakagonga kwenye zipu. Niliweka mikono mifukoni ghafla bin vuu na kutafuta kiti nikae Kisha tutete.

Bantu Lady why mko hivi?
 
Huwa ipogo tu halafu hakuna hata cha maana ila tushazoea tu!
 
Kwa nini mnapenda kutuangalia kwenye zipu?

Juzi natoka night shift saa moja,kidogo hali ilikuwa siyo hali maana niliisinzia asubuhi kwenye kiti,nilipoamka tu nikasimamisha. Yule mdada alipokuja kuchukua report ya kazi ya usiku Cha kwanza macho yake yakagonga kwenye zipu. Niliweka mikono mifukoni ghafla bin vuu na kutafuta kiti nikae Kisha tutete.

Bantu Lady why mko hivi?
Unaona ni wadada wengi kumbe. Mimi naangalia kama imesimama nione size basi.
Kuna kaka mgeni alikuja ofisini, japo alishaondoka.
Akawa ananifatilia, sasa kila mara inasimama πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… na ni likubwa hilo.
Basi mdada mmoja mtu mzima, akanifata akaniambia mdogo wangu, mfanyakazi mpya mambo yake si mchezo 🀣🀣🀣🀣🀣🀣 nikajifanya sijawahi kumuona ikiwa imesimama πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ πŸ™ŒπŸ»πŸ™ŒπŸ»πŸ™ŒπŸ»πŸ™ŒπŸ»πŸ™ŒπŸ»πŸ™ŒπŸ»
 
Unaona ni wadada wengi kumbe. Mimi naangalia kama imesimama nione size basi.
Kuna kaka mgeni alikuja ofisini, japo alishaondoka.
Akawa ananifatilia, sasa kila mara inasimama na ni likubwa hilo.
Basi mdada mmoja mtu mzima, akanifata akaniambia mdogo wangu, mfanyakazi mpya mambo yake si mchezo nikajifanya sijawahi kumuona ikiwa imesimama
Huwa hampati nyege?

Sisi wanaume tukiona mzigo au paja limenona ndiyo hivyo tena lazima tuweke mikono mifukoni kuzuga ili kuficha fedheha.
 
Unaona ni wadada wengi kumbe. Mimi naangalia kama imesimama nione size basi.
Kuna kaka mgeni alikuja ofisini, japo alishaondoka.
Akawa ananifatilia, sasa kila mara inasimama πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… na ni likubwa hilo.
Basi mdada mmoja mtu mzima, akanifata akaniambia mdogo wangu, mfanyakazi mpya mambo yake si mchezo 🀣🀣🀣🀣🀣🀣 nikajifanya sijawahi kumuona ikiwa imesimama πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ πŸ™ŒπŸ»πŸ™ŒπŸ»πŸ™ŒπŸ»πŸ™ŒπŸ»πŸ™ŒπŸ»πŸ™ŒπŸ»
Bantu lady fanya ulalee naona Amarula inakuwehusha Ujue 😁😁😁😁!!

Kuna wadada wengine wakiona yaliyomo yamo wanapenda kutest mitrambo hahaha! Wanaume hapo mna Kazi!!
Kuna mkaka mmoja miaka hiooo aliwafanya sana wanawake kiutani utani tu kisa ana Dyudyu kubwa!!

Wengine walikua wakimuona tu vile wamesikia watu wakimtania au kumsifia haaa wasio na mshipa wa aibu wanaenda kuigusa gusa eti nawao waone πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™Œ! Mbantu Fanya urareee kwanza naona akili sio yako hapoo😁!
 
Back
Top Bottom