Mahondaw
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 74,209
- 183,055
Ndiwooo ndiwooo.. everything is real hakuna feki hapooo!! unaachaje kudata kwa mfano 😁😁Tuache masihara mtu mpaka kajiita 'bantu' obvious Ni shida tupu. Kila kitu Ni asili apo. Ujue mnywani.
Ndiwooo ndiwooo.. everything is real hakuna feki hapooo!! unaachaje kudata kwa mfano 😁😁Tuache masihara mtu mpaka kajiita 'bantu' obvious Ni shida tupu. Kila kitu Ni asili apo. Ujue mnywani.
Una Horsepower na Torque ya kutosha kuhakikisha anafika anapokwendaaa 😅😅😅 kama unatumia engine za AMG sina wasi wasiType yangu ni Yule binti wa kibantu.
Kabisa kabisa Chino swaumu lazima ikateee chezea totroo mkareee weweh!😁😁 Bila kusahau 🤳ya iftar badaee!!Wewe mwanamke umeumbwaa.
Haha Na uzuri wako; laini afu linacheza cheza cheza jenyewe
Achana na wale wamebarikiwa Ila Ni ngumu mno kuruka ruka.
Nisije nikafungulia Chino mie see you badae cc Antonnia
Na siku sijakuona Malaika 😊😊. Fanya kama umekosea nionee neema za uumbajiKabisa kabisa Chino swaumu lazima ikateee chezea totroo mkareee weweh!😁😁 Bila kusahau 🤳ya iftar badaee!!
Take your time and enjoy your evening wapendwa!!!
Pole kwa kuuguza mjombaa Watakua sawa IJN;!
😅😅 ugonjwa wa miezi 9Pole kwa kuuguza mjombaa Watakua sawa IJN;!
Amen
Sijapiga mpya mjomba acha nikuchekie ya zamani!!Na siku sijakuona Malaika 😊😊. Fanya kama umekosea nionee neema za uumbaji
Heeee halafu April hii bana nilisahau lol!!😅😅 ugonjwa wa miezi 9
Kila siku we kwangu mpya, na kila kitu chako kwangu ni kipya huna cha zamaniSijapiga mpya mjomba acha nikuchekie ya zamani!!
Ameena.. tupo kwenye mda wa matarajiooo , ukiona mtu anavochokaa unasema humpi tena kibend 🤣🤣🤣🤣🤣Heeee halafu April hii bana nilisahau lol!!
God is good Atadeliver salama mjomba!!
Moyo wanguuu 😊😊😊😊
🤣🤣🤣🤣🤣🤣Ndio ivooo mjomba si wenyewe unaeza sema sibebi trenaaaaa haaa ikifika muda mwenyewe Unatamani kachanga kengine😂😂😂!Ameena.. tupo kwenye mda wa matarajiooo , ukiona mtu anavochokaa unasema humpi tena kibend 🤣🤣🤣🤣🤣
Aririririiirih💃💃💃💃🤸🤸🤸💪💪💪Moyo wanguuu 😊😊😊😊
Bidamu tumeumbwa kusahahu ndio maana labda.. ila hadi huruma.. hakika unahitaji kupendwa, kudekezwa na kupewa kila unacho hitaji kazi ni nzito 😊😊😊🤣🤣🤣🤣🤣🤣Ndio ivooo mjomba si wenyewe unaeza sema sibebi trenaaaaa haaa ikifika muda mwenyewe Unatamani kachanga kengine😂😂😂!
Kila la kheri mjomba Atajifungua salama!
Kabisa mjomba katu usimnyime Hivo vitu na furaha kulea mimba 9 months na kuzaa sio mchezoo!!Bidamu tumeumbwa kusahahu ndio maana labda.. ila hadi huruma.. hakika unahitaji kupendwa, kudekezwa na kupewa kila unacho hitaji kazi ni nzito 😊😊😊
Kukuangalia tu, ni afya mifupani naona hata siku za kuishi zinaongezeka 😊😊.. uzuri wako unaongeza siku za kuisha.. asie kubali ahame jf 😅😅Aririririiirih💃💃💃💃🤸🤸🤸💪💪💪
Nakusalimu kwa mbali ndugu mjumbe AntonniaKabisa mjomba katu usimnyime Hivo vitu na furaha kulea mimba 9 months na kuzaa sio mchezoo!!