Mahondaw
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 74,817
- 184,380
Weee unakosaje usingizi na mwamba nipo hapaaa!!,😂😂💃 Tukifturu out kam kauwaaa!Jana nimekosa usingizi kwa ajili yako ujue! Nisipokuona napoteza majira kabisa; mbantu huyu binti ananichanganya sana