Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Kukuangalia tu, ni afya mifupani naona hata siku za kuishi zinaongezeka 😊😊.. uzuri wako unaongeza siku za kuisha.. asie kubali ahame jf 😅😅
View attachment 2566541
Siku za kuishii ausio!!
Amina amina kubwaa! Mjomba mtu ndio keshasemaaa hivoo mi ninani hata nipinge 🤩🤩
Ninafurahii kukuona umefurahii mjomba wangu!!
 
Huku Mungu ni mwema yanaenda vizuri sijui huko yakoje!
Huku tupo tumejaa tele ndugu mjumbe tuna subiria mda wa ftari ufike
IMG_20230322_125430.jpg
 
Huku tupo tumejaa tele ndugu mjumbe tuna subiria mda wa ftari ufikeView attachment 2566593
Eendiwoooooooo ndiwooo!! Hilo buti nimelielewa sana Ndugu mjumbe santo sana kutubless hakika Jioni yangu inaenda kuwa fureeeeeeeeesssshhh kabisaaa!!! !! Huku juu umekata sana Ndugu mjumbe uko vizuree ✌️✌️✌️✌️!
 
Back
Top Bottom