Yule ametupiga kamba, kuna haja atafutiwe Mzee mmoja amfanye Mke tu ili kumfanya afocus na maisha ya familia kuliko kuishi kwenye Dunia ya kufikirika π€ͺ
Ukweli lazima usemwe mamii, ukiona kitu kizuri kisifie kwa kweli. Mtu usiwe na roho ya kichawi ukakichukia. Kisifie na Mungu atakubariki... so ur blessed mamaa