National Anthem
JF-Expert Member
- Aug 9, 2022
- 19,177
- 56,199
Engineer hii kubwa hii

Oyaaaaa oyaaaaa
Bado tunamalizia iftar mjomba ndiokwanzaaa Tuna day 1 😂😂😂!!
Vijana msifike level square na kutoa route!Oyaaaaa oyaaaaa
Njaaaa njaaaa
ewaaaaa!Twenzetu weekend hii rafikiii ni kubanjuka tu na kuweka shida chini!!
Kabisaaa yani!!
Mfikishie Salam zangu kapachino asipomwona anakuwa dhoofu li_hali si kidogo.Kabisaaa yani!!
Bantu Lady yupo rafiiii atakua bize kidogo na majukumu ya hapa na palee ila kajaa tereeeee wewe ndio ukipotea unapotea kweri kweri!!
Mimi zaidi, nisipokuona nakuwa hoi taabani...Mfikishie Salam zangu kapachino asipomwona anakuwa dhoofu li_hali si kidogo.
Usijareee zimefikaaa na kupokelewaa ! 😊Mfikishie Salam zangu kapachino asipomwona anakuwa dhoofu li_hali si kidogo.
Ewaaa! Mtoto umebarikiwa wewe!Nimerudi leo nikaanza kupalilia. Naandaa sehemu ya kupanda matunda shambani, mvua hizi ndiyo za kupanda vitu...View attachment 2563034
Oooh thank you, napalilia najimwagiaje michanga 😅😅😅😅😅Ewaaa! Mtoto umebarikiwa wewe!
Guuu tu kapachino huku hoi
Almanusura niwatume wale jamaa wa pale taifa wanaovunjuka tofali kwa kichwa waje kukunusuru uko uliko.Mimi zaidi, nisipokuona nakuwa hoi taabani...