Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Nimerudi leo nikaanza kupalilia. Naandaa sehemu ya kupanda matunda shambani, mvua hizi ndiyo za kupanda vitu...View attachment 2563034
Weee mwanamkeee aririririiirih 😍😍😍 Hakiii kuna watu wanakojolea pazuri nyieee🙌🙌🙌🙌🙌😍😍We mkareee kuanzia utosini mpaka unyayoniiii😍😍😍😍
 
Yaani na miaka inavyokimbia late 80's na 90's siyo tena watoto 😂😂😂😂😂😂 sasa tuna 2000's ndiyo namba E 🙆‍♀️🙆‍♀️🙆‍♀️🙆‍♀️🙆‍♀️🙆‍♀️
Hata mbuyu ulianza kama mchichaa nawao watakua bibi tyuuu😂😂😂!! kwa sauti ya cocaa😊
 
Yaani na miaka inavyokimbia late 80's na 90's siyo tena watoto 😂😂😂😂😂😂 sasa tuna 2000's ndiyo namba E 🙆‍♀️🙆‍♀️🙆‍♀️🙆‍♀️🙆‍♀️🙆‍♀️
Vya kale dhahabu!

Vile vibibi vya hollwoody huwa vinaamsha amasha kweli kuliko hata teenegers kwenye ile industry! Mpaka huwa nasema hiki nini.
 
Back
Top Bottom