Na alivyo atataka kila kitu aamue yeeye. Sasa huko Ankol macho yasiwe juu juu watoto wa Kisukuma wamejazia haswaaa...
Utulie kabisa , wana watu wao matajiri wa Mwanza, wasije kukuingiza mkenge Ankol wetu.

π π π tajiri habishiwi, akitaka hata nifute viatu vyake kila baada ya dk moja nitakubali tu..
Nikiwa na boss kubwa na mie nakuwa tajiri ... hao watoto mie siwezani nao sina meno hata