Tinsley
JF-Expert Member
- Nov 16, 2020
- 14,590
- 38,225
hahahaha huaminini , ngoja siku za karibu nijaribuAu basi
hahahaha huaminini , ngoja siku za karibu nijaribuAu basi
WalaUnachepuka
awwh so sweet , huwa unapata goosebumps nini ?Wala
Ila siwezi ongea na mchumba wangu mbele ya mtu yeyote
Ngumu sana
Saa moja kama kawaNilikua nimesahauu lol bora umenikumbusha! Hivi ni Sa ngapi vile???
Santo sana Ndugu mjumbe lazima niicheki!Saa moja kama kawa
Ban ban mod hawataki utani eticocastic kipenzi nimemiss sana uwepo wako selfika jamaneee!
Yaani acha tu😆awwh so sweet , huwa unapata goosebumps nini ?
awh jamani i guess it's true love ..Yaani acha tu
Since when who which 🤔?Kumbe shangazi [mention]Antonnia [/mention] na mdogo wangu [mention]Depal [/mention] ni ndugu![]()
Salama sana mjumbe Hivi Upogo??Habari zenu wana selfika
Nipo chairwoman napita sana usikuSalama sana mjumbe Hivi Upogo??
Sikuhizi Usiku kumepoa sana humu saivi mida hio nakua nimelala !!Nipo chairwoman napita sana usiku
Naona watu majukumu yamewaelemeaSikuhizi Usiku kumepoa sana humu saivi mida hio nakua nimelala !!
Karibu tena selfika mjumbe!!
Yeah majukumu pia mambo yashakua mengi sana humu ndugu mjumbe!Naona watu majukumu yamewaelemea
Iiiiiiiiiggggggggggwweeeeeeeeeeehhhhh 😍😍😍!!@Antonniah
View attachment 2556425
😅😅😅🤣Iiiiiiiiiggggggggggwweeeeeeeeeeehhhhh 😍😍😍!!
Wabheja sana Ndugu mjumbe umenenepaajee!!
Afu umekuaakuaaa mkubwaa hongeraaa☺️😁
Santo sana Ndugu mjumbe sasa hudaiwi Selfii hudaiwi chama una mtu wako ma hutoki na mke wa mtu uko freeee kabesaaa😂✌️✌️✌️✌️!!
Chairwoman wacha maneno mingi weka mzikiIiiiiiiiiggggggggggwweeeeeeeeeeehhhhh 😍😍😍!!
Wabheja sana Ndugu mjumbe umenenepaajee!!
Afu umekuaakuaaa mkubwaa hongeraaa☺️😁
Santo sana Ndugu mjumbe sasa hudaiwi Selfii hudaiwi chama una mtu wako ma hutoki na mke wa mtu uko freeee kabesaaa😂✌️✌️✌️✌️!!
Kweli tena umekuaaa umejaajaaa na kukomaa usooo🤣🤣🤣☺️☺️!Chairwoman wacha maneno mingi weka mziki
Nipe moya niyeyuke