reymage
JF-Expert Member
- Aug 5, 2021
- 12,454
- 29,363
Hahahahaaa....We mtoto ni timu gani? Kama Yanga nakuchapa.
Hahahahaaa....We mtoto ni timu gani? Kama Yanga nakuchapa.
Acha nisake sigara kali yangu nipige nilale nisikilizie kama nipo mbinguni 😃😃😃Hahaha Asante Sana!
Nikupitie wapi
Pole bestieAcha nisake sigara kali yangu nipige nilale nisikilizie kama nipo mbinguni [emoji2][emoji2][emoji2]
Kumbe wewe need mdogo mdogo hivi!!? Nilidhani ni mdada fulani hivi libonooongee!!Hahahahaaa....
Uje ule kitu kina raha kule mala 1000 ya tendoPole bestie
Yanga timu ya wazee 😀We mtoto ni timu gani? Kama Yanga nakuchapa.
[emoji12][emoji1][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji3][emoji3]mi mkubwa broooo!!!na kibongeeeeKumbe wewe need mdogo mdogo hivi!!? Nilidhani ni mdada fulani hivi libonooongee!!
Hahahahahaha...daahhhUje ule kitu kina raha kule mala 1000 ya tendo
Afu wale wauswahiliniYanga timu ya wazee [emoji3]
Ahahah nimefurahi Sana ilo jibu.Yanga timu ya wazee [emoji3]
Kabisa waswahili sana 😂Afu wale wauswahilini
Kamera ingeshuka kidogo
[emoji1][emoji1][emoji1] hataki bikraSistazi...mchongo huo [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
View attachment 2557536
Wanaume tunaeleweka basi shemeji. Wakati mwingine vigezo vinategemea na jinsi tulivyoamka siku hiyo [emoji16][emoji1][emoji1][emoji1] hataki bikra
Reooo ni reoooo💃💃!!pisi kali Antonnia na dada Bantu Lady mwenye Nani lake mjini! Kapachino alivo na furaha leo: anayo offer kwa ajili yenu
Ngoja reo tuone 😂😂! Kwa sauti ya Bantu Lady ☺️Uwanja wetu huu uto tukutane kesho this is Simba wapi Bantu Lady ndugu mjumbe Antonnia