Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,512
- 235,218
usingizi umenishika hapa , piga tenaHupokei simu yangu
Amen[emoji7][emoji4][emoji847][emoji120]Saint Anne dada fulani hivi amazing asiye na makuu na mtu, uishi sana mdogo wangu.
Hivi kaPutin kanaongeaje??usingizi umenishika hapa , piga tena
hapana , hes funny , anaongea vizuri tu . What a cool guyHivi kaPutin kanaongeaje??
Huwa hakakutukani kweli?
Amen[emoji7][emoji4][emoji847][emoji120]
Naomba bia
Nataka bia hiyo unayokunywa😊Nipe namba yako
Nataka bia hiyo unayokunywa[emoji4]
Ndiyo naomba ninywe, bia lakini siyo hela.4000 tu mdogo wangu
Black is beautiful [emoji4]
Hizo Heineken si kama Chai tu
Acha usinyoe.Kesho nikanyoe hizi nywele Saint Anne , zinanikera
oh pole , uwe unalala ubavu , hapa zinawasha na hili joto ndo kabisaAcha usinyoe.
Mm mwenyewe zangu nilipumzika kusuka, zimekatika nyuma maana analalia kisogo
Ila nikiwaza kunyoa kuanza upya ni msala.
Huwa nalalia ubavu ila sijui hata niwa nageukaje usiku [emoji23]oh pole , uwe unalala ubavu , hapa zinawasha na hili joto ndo kabisa
Ndiyo naomba ninywe, bia lakini siyo hela.
Unaniita mdogo wako, wataka kuninyima Nini? [emoji23]
Mimi nataka hiyo bia[emoji23]Leta namba ya wakala nikuwekee bure [emoji3]
Hizo Heineken si kama Chai tu
Nataka vitu vizito kama Four cousins [emoji13][emoji23]
Kucha nimeshazitoa[emoji16],
Sijui hata bei yake.