Aaliyyah
JF-Expert Member
- Mar 20, 2022
- 20,261
- 49,198
Walikataa kunamtu alitumia ivoHapo kwenye jina toa "y" moja, litakaa vizuri.
Mwisho wa siku litazoeleka tu.
Walikataa kunamtu alitumia ivoHapo kwenye jina toa "y" moja, litakaa vizuri.
Mwisho wa siku litazoeleka tu.
Hakuna na y moja wala NiniHapo kwenye jina toa "y" moja, litakaa vizuri.
Mwisho wa siku litazoeleka tu.
😂😂😂Hakuna na y moja wala Nini
Sisi tunajua anaitwa Sophia
Hakuna na y moja wala Nini
Sisi tunajua anaitwa Sophia
Junia anaelekea kupata mdogo wake,wewe Auntie bado upo nyumbani kweliMamaangu anapika nyie ndo maana sihami nyumbani [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Hadi wajomba waje na bakora [emoji23][emoji23]View attachment 2550685
Sisi selfika tunajua anaitwa SophyKuna sehemu alisema analikubali sana hilo jina, ndiomaana nimshauri hivyo.
Ila we nae ni kabishi[emoji23]
Walikataa kunamtu alitumia ivo
😂😂Nyumbani kutamJunia anaelekea kupata mdogo wake,wewe Auntie bado upo nyumbani kweli
Nitajaribu kutoa y niongeze lHapo ndo ugumu unapokuja sasa, hizo "y" mbili ndo zimeliharibu jina.
Vyovyote vile ni poa lakini.
Sisi selfika tunajua anaitwa Sophy
Hilo jingine siyo shida zetu.
Nasema uongo wazee wa gengeni pressing [emoji16]View attachment 2551577
Mwantesa united 😂😂Daaah, sijui utasahau lini tu.
Ushindi nilikupa ile mchana , jukwaa la Utd nililikimbia nikawaacha, ila bado umeniandama tu 😂.
Sikuachi hadi umeweka hapa selfie yakoDaaah, sijui utasahau lini tu.
Ushindi nilikupa ile mchana , jukwaa la Utd nililikimbia nikawaacha, ila bado umeniandama tu [emoji23].
Mama Junia nimebatizwa ubatizo wa maji mengi naitwa Aaliyah😂😂😂Sisi selfika tunajua anaitwa Sophy
Hilo jingine siyo shida zetu.
Nasema uongo wazee wa gengeni pressing [emoji16]View attachment 2551577
Unajua weweHakuna na y moja wala Nini
Sisi tunajua anaitwa Sophia
Njoo umuwage kapachino vizuriUsiku mwema wapendwa mrare unono😴😴😴😴😴😴😴😴
Hahaha yanaishaje ishaje[emoji23][emoji23]yameisha ndugu tuendeee kufurahi hapa jf [emoji23][emoji23][emoji23]
Alfu Nina bday ya kutimiza Miaka 32 naomba nikupe mualiko[emoji7]
Mwantesa united 😂😂
Samahani mkuu nilikumbuka tu maramoja 😂Daah, yani nakutetea ili Saint Anne asikusumbue na hilo jina, afu we unaungana nae kunipiga spana?😂
Samahani mkuu nilikumbuka tu maramoja 😂