Kalpana
JF-Expert Member
- Jun 16, 2017
- 35,667
- 70,299
Watazoea tuu Sophy😂😂😂😂Mmeniamulia walimwengu
Watazoea tuu Sophy😂😂😂😂Mmeniamulia walimwengu
Kweli wavumilieWatazoea tuu Sophy
Ila mm napenda kujua why watu wanabadii Id's? Mimi nilibadili mara moja tuu tena baad ya Id yangu kufanana na member humu yy wa long tym mimi nilivyokua new nikawa nimeandika hyo Id sema yy alitumia k mimi c..but nikaona bora nitafute nyingine tusichanganye mafaili...ww kwanini umebadili?Kweli wavumilie
Nalipenda hili jina sana nilitaka kumpa Mdogowangu wakampa lingine nafarjika nikilitumiaIla mm napenda kujua why watu wanabadii Id's? Mimi nilibadili mara moja tuu tena baad ya Id yangu kufanana na member humu yy wa long tym mimi nilivyokua new nikawa nimeandika hyo Id sema yy alitumia k mimi c..but nikaona bora nitafute nyingine tusichanganye mafaili...ww kwanini umebadili?
Oookeyy....Nalipenda hili jina sana nilitaka kumpa Mdogowangu wakampa lingine nafarjika nikilitumia
Namuunga mkono JuniaMmeniamulia walimwengu
Mimi naona ,lile jina la kwanza kabisa la mtu,ambalo anajiita kipindi anajiungaIla mm napenda kujua why watu wanabadii Id's? Mimi nilibadili mara moja tuu tena baad ya Id yangu kufanana na member humu yy wa long tym mimi nilivyokua new nikawa nimeandika hyo Id sema yy alitumia k mimi c..but nikaona bora nitafute nyingine tusichanganye mafaili...ww kwanini umebadili?

Naomba selfie yako ukitaka nikuiteUnaniita eti![]()
Inategemea na sababu ila ni kweli haipendezi inatupa sana tabuu...Mimi naona ,lile jina la kwanza kabisa la mtu,ambalo anajiita kipindi anajiunga
Ndio huwa perfect na hupendeza.
Akishaanza tu kubadilisha badilisha majina yanakuwa hayapendezi.
Ni mtazamo wangu,na si Sheria![]()
Kwanza wakati wa kujiungaInategemea na sababu ila ni kweli haipendezi inatupa sana tabuu...
Sasa mm na ile Id zilizofanana duuu jinsi alivyo na mm tofauti kabisa so nikachange..
Lilifanana herufi nimesema yy aliandika K mimi C ila linasomeka sawa ..kwanza ni long tym hata watu walikua hawajalizoea...Kwanza wakati wa kujiunga
Ukitaka kuweka jina ambalo tayari lina exist,system inagoma.
Kwa kweli mtu akibadili anaharibu jina
Pia anajipoteza,watu washazoea kumuita hivi
Unachange majina hadi tunachoka tumuitaje.
Oh hapo kweli umuhimu wa kubadilisha unaonekanaLilifanana herufi nimesema yy aliandika K mimi C ila linasomeka sawa ..kwanza ni long tym hata watu walikua hawajalizoea...

NNitakufafanulia kesho 😆😆Oh hapo kweli umuhimu wa kubadilisha unaonekana
Huyo member atakuwa si active eh?
Toka nijiunge Kalpana nayemjua ni wewe tu
Huyo Calpana hata kuona id yake inakatisha sijawahi![]()
Hapo kwenye jina toa "y" moja, litakaa vizuri.😂😂😂😂Mmeniamulia walimwengu