Tinsley
JF-Expert Member
- Nov 16, 2020
- 14,590
- 38,225
karibu ujumuike humu , ts a cool threadHili jukwaa limeshakuwa kijiji ndani ya Jf, natarajia kuona makubwa zaidi huko mbeleni nitakaporudi tena.
karibu ujumuike humu , ts a cool threadHili jukwaa limeshakuwa kijiji ndani ya Jf, natarajia kuona makubwa zaidi huko mbeleni nitakaporudi tena.
Sio kweliNahis ndio umri wako kwa muonekano wako
Carrasco naona umeelewa somo .
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sijaelewa kbsa njoo guest unieleweshe
Aslam alyeikumHili jukwaa limeshakuwa kijiji ndani ya Jf, natarajia kuona makubwa zaidi huko mbeleni nitakaporudi tena.
Tutakuoza kwa nguvu hata kwa mzabzabMamaangu anapika nyie ndo maana sihami nyumbani [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Hadi wajomba waje na bakora [emoji23][emoji23]View attachment 2550685
Yanatamanishajeee walai 😋😋😋😋😋nishashiba ugali dagaa saii nikiongezea moja hapoo class ni kurara tu😁!!Mamaangu anapika nyie ndo maana sihami nyumbani [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Hadi wajomba waje na bakora [emoji23][emoji23]View attachment 2550685
badilisha location , kwani hujaenda lodge leo ? , njoo moja huko bunju beach .. Pametulia kinoma , ukienda na mke wa mtu , hamkamatwiSijaelewa kbsa njoo guest unieleweshe
Tukamtoe home kwa nguvu, tumkabizi kwa mwamba 😅😅Tumpe mzee wa kupambania 😂😂😂
badilisha location , kwani hujaenda lodge leo ? , njoo moja huko bunju beach .. Pametulia kinoma , ukienda na mke wa mtu , hamkamatwi
Huyo mrembo lazima nimuwoweTutakuoza kwa nguvu hata kwa mzabzab
KaribuYanatamanishajeee walai [emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39]nishashiba ugali dagaa saii nikiongezea moja hapoo class ni kurara tu[emoji16]!!
Sawa shemeji 😅😅Huyo mrembo lazima nimuwowe
Mamaangu anapika nyie ndo maana sihami nyumbani [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Hadi wajomba waje na bakora [emoji23][emoji23]View attachment 2550685
Toto zuri hili hatari alafu navyojua kujistiri yaani vituma nitakuwa naviona mwenyeweSawa shemeji 😅😅