Selfika na JF: Snap it. Show it

Nakuachaje Kwa mfano !
Ukitaka nikuache niwekee selfie yako.
Vinginevyo naendeleaπŸ˜‚
Ahahaha πŸ˜„

Usinikazie hivyo bwana, ya Klopp na Ten Hag hatutakiwi kuyazingatia sana.

Kwanza inakuwaje hausahau hata baada ya wiki mbili kupita??

Selfie ningefurahi sana kama ingeanza yako kisha nifuatie, si unajua Ladies first?
 
Hujaona nipo chini ya seven up
Saba ipo juuπŸ˜‚

Utaweka picha au niendelee?
Nyie ni makubwa jinga ya mwezi wote huu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…