Aaliyyah
JF-Expert Member
- Mar 20, 2022
- 20,261
- 49,198
Fnya shwaaa kidogo Niko haphpaJomoniii
Fnya shwaaa kidogo Niko haphpaJomoniii
Asante mtani. Nimefurahi leo umetubless, na pic matata sana 😍😍😍😍Kumbe unaumwa pole dear
Sure humu watu wanadhani ndo maisha yetu na mtaani...watu hawako real..mimi nawaambia ni bingwa wa kuandika tuu ila kuongea mimi sio muongeaji ni msikilizaji...Yaani hata sikudhania 😂😂😂😂😂 hufananii mtani. Ndiyo watu tunawaambia, tunayofanya hapa huko nje tuko tofauti kabisa. Mzuri sana na mshepu huko chini nimeuona mtani. Miye mchunguzi, umekaa ila nimeonaa mambo ni 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Nianze andika urithi eeh 🤣🤣Uzee
Nashukuru mara moja moja natokea nawabless napotea hahahhaAsante mtani. Nimefurahi leo umetubless, na pic matata sana 😍😍😍😍
Una nafuu kubwa, mie hadi tukae mala nyingi nyingi na kuongea bila hivyo, siwezi kabisa kumbuka mtu.Hamna tunatofautiana sana..mimi nikikuona mara moja tuu tukaongea au kusalimiana sitakusahau ila mpk tuongee kwanza
Basi ww ni wale watu ma dis minderUna nafuu kubwa, mie hadi tukae mala nyingi nyingi na kuongea bila hivyo, siwezi kabisa kumbuka mtu.
Kabisa kunawatu wameumbwa kunawatu wanahaiba zao bantulady na antonnia waume zenu wanamacho balaa yani wanavyombo hasa kalpana nasubir nithibitishe ndugu mjumbeSure humu watu wanadhani ndo maisha yetu na mtaani...watu hawako real..mimi nawaambia ni bingwa wa kuandika tuu ila kuongea mimi sio muongeaji ni msikilizaji...
aunt asubuhi ulitunyanyasa sana tulivyo omba irudiwee, tukusemee eeh 😅😅😅Fnya shwaaa kidogo Niko haphpa
Halafu kapoteaaaunt asubuhi ulitunyanyasa sana tulivyo omba irudiwee, tukusemee eeh 😅😅😅
Woyo mzuri balaa[emoji7]Haya ni dkk moja chapuuu hii hapa
View attachment 2550748
Ewaaa kwa afya ya mioyo muhinu sister 😊😊 hata kamoja kwa wiki sio mbayaNashukuru mara moja moja natokea nawabless napotea hahahha
[emoji23][emoji23][emoji23]tumeanza lini kusemana mm na wewaunt asubuhi ulitunyanyasa sana tulivyo omba irudiwee, tukusemee eeh [emoji28][emoji28][emoji28]
😊😊😊 upo vizuri inaonekana ukipewa herufi moja unapata majibu hapo hapo.. huwa sina mazoe au ongea ongea na watu nipo cool mda mwingi.. ndio maana nakuja kuchangamka hukuu na kuongela nyuma ga keyboardBasi ww ni wale watu ma dis minder
Bado ww sijakuonaKabisa kunawatu wameumbwa kunawatu wanahaiba zao bantulady na antonnia waume zenu wanamacho balaa yani wanavyombo hasa kalpana nasubir nithibitishe ndugu mjumbe
Wengi tupo hivyo..JF inatukutanisha na marafiki annonymus...basi maisha yanendelea kusonga..unaandika na kufurahi😊😊😊 upo vizuri inaonekana ukipewa herufi moja unapata majibu hapo hapo.. huwa sina mazoe au ongea ongea na watu nipo cool mda mwingi.. ndio maana nakuja kuchangamka hukuu na kuongela nyuma ga keyboard
Antonnia Aaliyyah Bantu Lady na Kalpana mkituzamini pale BoT hatukosi mkopo wa maana 😅😅😅 alafu tunafungua bankThanx dear mtani..sifananii na nayoyafanya jwny jukwaa la michezo hahahahhahahah ni mpole kweli