Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Ngoja sasa nifute kabula sijakaririwaaa kuna watu wataalamu wa kukonekt dots
😊😊 mie kama mtu nisipo onana nae zaido ya mala tano uso kwa uso siwazi mkumbuka kwa picha ndio kabisa siwezi linganisha ingawa kuna watu hatari mala moja kaisha jua 😅😅😅 unaweza nipa picha yako hapa nikakuuliza na huyu nani ... juzi kuna stuff mpya ofisni nilimuona mala mbili, tukakutana shemu sikumtambua kabisa badae nimerudi ndio ananiongelesha nikabaki nacheka sijui tatizo gani hili au uzeee 😅😅😅
 
Hamna tunatofautiana sana..mimi nikikuona mara moja tuu tukaongea au kusalimiana sitakusahau ila mpk tuongee kwanza
 
Thanx dear mtani..sifananii na nayoyafanya jwny jukwaa la michezo hahahahhahahah ni mpole kweli
Yaani hata sikudhania 😂😂😂😂😂 hufananii mtani. Ndiyo watu tunawaambia, tunayofanya hapa huko nje tuko tofauti kabisa. Mzuri sana na mshepu huko chini nimeuona mtani. Miye mchunguzi, umekaa ila nimeonaa mambo ni 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
 
mie kama mtu nisipo onana nae zaido ya mala tano uso kwa uso siwazi mkumbuka kwa picha ndio kabisa siwezi linganisha ingawa kuna watu hatari mala moja kaisha jua unaweza nipa picha yako hapa nikakuuliza na huyu nani ... juzi kuna stuff mpya ofisni nilimuona mala mbili, tukakutana shemu sikumtambua kabisa badae nimerudi ndio ananiongelesha nikabaki nacheka sijui tatizo gani hili au uzeee
Uzee
 
Back
Top Bottom