Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

gari for sale laki na 32
20230312_071441.jpg
 
Okay nice , Mimi napenda kusuguliwa vile na brush na upakwe tu mafuta lol ..
Mguu unangaa siku hiyo kweli

Jaribu siku moja utrim
Niliwahi jaribu mara moja siku ya graduu
Mguuni nikabandika
Kwanini isinitoe damu kwenye harakati za kudance kanisani kwenye mkesha ,, watu wakataka wapite nayo.

Mkononi pia niliwahi paka,wakanitrim
Zinakuwa kali mno kwa kweli..
Halafu naona km napoteza hela,nipake halafu nikifua rangi inatoka.

Na nasikia sikia watu sikuhizi wanasema zile rangi za gel si nzuri kiafya.
 
pole mwaya , sijawah kupaka geli . Mie sipendi wanichokonoe vidole kutoa uchafu , cutter zile zinaumiza
 
Back
Top Bottom