Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Kitambo huku. Kwema wakuu?

PXL_20230312_133635062.MP~2.jpg
 
Ndefu ndo uzuri wake
Sipakagi sana rangi mkononi , napenda henna Kwa mkono .
Mimi hina sijanunua kitambo sana
Mara ya mwisho nimepaka chuo,marafiki zangu waislam walikuwaga nazo.

Ila nadhani Nina asili pia ya kucha ngumu..
Wakati wa kufua Kuna muda hadi zinageuka,inajifunikia upande mwingine
Zinauma, ila hazikatiki.
 
wanasema ukipaka henna za dukani muda mrefu kucha inaharibika , unazo ngumu
 
Back
Top Bottom