Mlete mdhunguuuuu mlete mdhunguuuuu 😂😂😂😂🤣🤣🤣
Tayari tayariiii huku khaaaa...Badooo kwani ashatupia singeli,😁😂??
😂😂😂😂😂😂 Dj unajua sana.... Duuuh
Upo bamiaBantu Lady huyu mdigo kanileta mpaka Chamanzi kutazama gemu wakati hata gemu zangu nazitazamiaga banda umiza dah atafanya niuze yumba yangu ya urithi ya mburahati wacha nienjoy soka kidogo. Mnyama mkali Antonnia baadae kiasi best, hope macho yatafurahi Tena
National Anthem umetisha mzee
Lol kumbe tushapigwaa hukoo 😌😌😌😌😌!. Mie pia nilikuepo wapendwa wangu mbarikiwe sana na muwe na Jioni njema!!Asanteni sana nimekuwa na wakati mzuri na nyinyi leo. Mbarikiwe sana na nawapenda 😘😘😘
Antonnia
Kapachino
National Anthem Our DJ
kiduku mpapaso
Carrasco putin
Poor Brain
Wigelekelo
Muwe na jioni njema. Ngoja nikapambane na Yanga yangu, tumeshabutuliwa huko tayari 😔😔😔
Naona lile ban halikumtosha sasa unamtaftia life ban! Tinsley we endelea kutaste my patience [emoji34]
Ndio mkuu!Upo bamia
Hali ya hewa ipo vipi huko..?Ndio mkuu!
Unakunywa mirindaTunamalizia jioni na kamirindaView attachment 2547708
Hii nimeipenda sana😂😂😂Unakunywa mirinda
Baikoko ya Antonnia na Bantu Lady
Utaiweza kweli[emoji848]
Sent from my TECNO BD4h using JamiiForums mobile app
Anasikitisha sanaHuo mkono mmmh!!! Naomba soda [emoji6] Wigelekelo njoo umuone mdogo wako huku.
Si nimedoea hapa hamna kuchagua unacho kikutaUnakunywa mirinda
Baikoko ya Antonnia na Bantu Lady
Utaiweza kweli[emoji848]
Sent from my TECNO BD4h using JamiiForums mobile app
Dogo anatakiwaNaona lile ban halikumtosha sasa unamtaftia life ban! Tinsley we endelea kutaste my patience [emoji34]
Nimekwambia ujeSi nimedoea hapa hamna kuchagua unacho kikuta
Kuna wageni wamenitinga hapa kesho upo nikirudi nikucheki hapo