Poor Brain
JF-Expert Member
- Jul 5, 2019
- 27,423
- 54,864
Na mii nipo na camera 📷 hapa nataka niwachukue live mkijiachiaUpo tunaburudika na ngoma kalikali tu Amapiano ndani kwa sana karibu. DJ ni Ankol National Anthem
Na mii nipo na camera 📷 hapa nataka niwachukue live mkijiachiaUpo tunaburudika na ngoma kalikali tu Amapiano ndani kwa sana karibu. DJ ni Ankol National Anthem
Bila msuli karai la zege tutaweza kubeba kweli ndugu mjumbeWeee mjumbe huo mkono!
Kumbe una misuli hivoo lol!
Enjoyyyyyy your mirinda mjumbe!
Kumbe kazi nyingine ni DJ daaah..🤣🤣🤣🤣 Deeejaayy noumaaa sanaa huyuuuu😁💃
Noumaaa nanusuu ndugu mjumbe! Imekaa poa sana hioo kitu msuriiii✌️✌️✌️Bila msuli karai la zege tutaweza kubeba kweli ndugu mjumbe
Weweeeee JF waweke na vya sauti bana 😂😂😂😂😂😂 hawakoseagi hawa DJ angusha JerusalemaOyoooo 🔥🔥🔥🔥 hiyo b.day sio ya kukosaaa 😊😊😊 pembeni na aunt wangu Antonnia na mzee mwenzangu Kapachino
View attachment 2547707
Kimambo
Umeona umeonaNoumaaa nanusuu ndugu mjumbe! Imekaa poa sana hioo kitu msuriiii![]()
Jr ako poa sana si dadazake wameenda twisheni nae kaenda naoooo sijui ndio kuwalinda kama wamemdanganya maza wasitoboee😁😁😊😊!Kumbe kazi nyingine ni DJ daaah..
Ngoja basi nichek kazi zake
Jr wa me mzma
Huo mkono mmmh!!! Naomba soda 😉 Wigelekelo njoo umuone mdogo wako huku.Tunamalizia jioni na kamirindaView attachment 2547708
Nimeona ndugu mjumbe uko vizuree sanaa!Umeona umeona
🔥🔥🔥🔥 oyoooooWeweeeee JF waweke na vya sauti bana 😂😂😂😂😂😂 hawakoseagi hawa DJ angusha Jerusalema
Kumbe upo serious kiasi hiki mr dj
🔥🔥🔥🔥 oyooooo
View attachment 2547714
Au hii ngomaWeweeeee JF waweke na vya sauti banahawakoseagi hawa DJ angusha Jerusalema
Dj nipo busyWeweeeee JF waweke na vya sauti bana 😂😂😂😂😂😂 hawakoseagi hawa DJ angusha Jerusalema
Mjomba anko mdogo ataletwa lini kwani ili mjomba wangu ushave jamani anakutesajeeee😁😁😊😊!
Sasa jamani nyumbani kwangu nile ugali na nikikaribishwa napo nikale ugaliKumbe we ni wale wageni wanaochagua chakula??🙄
Ahahahah antiel una vibeee leoHapaa tunapanga mstarii tunaenda kwa stailii mojaaa ikikolea kila mmoja kivyakee
Hapa Bantu Lady pembeni Kapachino Poor Brain Kiduku Mpapaso National Anthemnamie mwisho
Deeejaayy waletreeeeee💃💃💃💃💃