Mahondaw
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 74,241
- 183,109
Kabesaaa mjomba umenitajia wine mate yamejaaje mdomoni hapaaaa😋!Na ka wine kawe red au white 😊😊
Kabesaaa mjomba umenitajia wine mate yamejaaje mdomoni hapaaaa😋!Na ka wine kawe red au white 😊😊
na mishepu yenu I can't wait to see you mkitisikaHapo hamtanitoa mbona 😁😁😁😁😁😁😁 Amapiano treeeinnnnaaahhh 💃💃😂
Ssaaasaa je kama alijuaaaa!! Hanaga poses kabisa ni full kufurahiii!!Ndio Mana hata Mungu kamjalia nyama nyama za shawarma
Ondoa shakaa hilo halina pingamiziiii dada kasema ni love songz na amapiano lakini unajua kuzicheza kwanza 😁😂???na mishepu yenu I can't wait to see you mkitisika
Mie nitakuwa Dj 😊😊😊Wow lazima tutikisike na Amapiano full raha na burudani kama zote...
Jioni tutatoka out ukapata ka wine ile kitu roho inapendaa 😊😊Kabesaaa mjomba umenitajia wine mate yamejaaje mdomoni hapaaaa😋!
Haha ushaingia club ukawakuta vijana wameninginiza vifunguo uko wakitikisa kisa kichwa na vimguu; wakijichafanya life wameipatia ndo Mimi hapa.Ondoa shakaa hilo halina pingamiziiii dada kasema ni love songz na amapiano lakini unajua kuzicheza kwanza 😁😂???
Asantee Ankol nimecheza I wish mngeniona 😄😄😄 Amapiano matamu sana.
😊😊 i wish niwe mbingu niwe nakuona au kipindi cha wine ungepiga haka ka amapiano ka chiniAsantee Ankol nimecheza I wish mngeniona 😄😄😄 Amapiano matamu sana.
🤣🤣🤣😂😂😂😂 Nakuimagine sikupatiii picha kabisa mwamba🤣🤣😂!Haha ushaingia club ukawakuta vijana wameninginiza vifunguo uko wakitikisa kisa kichwa na vimguu; wakijichafanya life wameipatia ndo Mimi hapa.
Natikisaga kichwa Bantu Lady si utanifundisha kudance eh
Eendiwoooooooo mjombaa tukimaliza tunajiachia amapiano kwarahaa zeituuuuu💃!Jioni tutatoka out ukapata ka wine ile kitu roho inapendaa 😊😊
Amapiano tramu banaaa lol N😊😊 i wish niwe mbingu niwe nakuona au kipindi cha wine ungepiga haka ka amapiano ka chini
View attachment 2547665
Ewaaaaa... ndio ndio ndioooo aunt wangu wa ukweliiii 😘😘😘Eendiwoooooooo mjombaa tukimaliza tunajiachia amapiano kwarahaa zeituuuuu💃!
Napenda ufurahii tu aunt wangu😊Amapiano tramu banaaa lol N
Acha kabisa Ankol dah leo umeniwezea kwa kweli 🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻😊😊 i wish niwe mbingu niwe nakuona au kipindi cha wine ungepiga haka ka amapiano ka chini
View attachment 2547665
hahaha! Kwa mtoko wa leo kapachino hata cigarettes hata gusa! Nisije nikawaudhi watoto wazuri! hata kabla hamjaanza cheza ampiano🤣🤣🤣😂😂😂😂 Nakuimagine sikupatiii picha kabisa mwamba🤣🤣😂!
Attachment hapo unamaliza kila kituHivi kuweka video humu, ni mpaka niwe na link toka youtube? Walimu wangu anzeni darasa 😂😂😂😂😂
Tupandishie tu mtoto mzuri!Hivi kuweka video humu, ni mpaka niwe na link toka youtube? Walimu wangu anzeni darasa 😂😂😂😂😂