Bantu Lady
JF-Expert Member
- Jan 9, 2014
- 9,869
- 32,710
Jamani jamani jamani toto limesimama kinyama ๐๐๐๐๐
Kapachino mambo yako kabisa haya...
Jamani jamani jamani toto limesimama kinyama ๐๐๐๐๐
Ndani ya nusu saa nitakuwa hapo best usijali kabisa. Tukazurure zetu....nipo charambe hapa; fanya kunipitia hebu nikasafishe macho
Ndio mwenyewe huyuuu๐ ๐๐!Mnyama mkali
Mnaniachaje pekeangu walai uwiiii sikubareeeeeee namie nakujaaa๐๐๐๐!Ndani ya nusu saa nitakuwa hapo best usijali kabisa. Tukazurure zetu....
Nisha kununulia vuvuzela lako kabisa;Ndani ya nusu saa nitakuwa hapo best usijali kabisa. Tukazurure zetu....
Yelewiiiiiiiiiiiiiiii,๐๐๐๐๐!
Ila hatuweki taarabu, tutasikiliza Love songs tu ๐๐๐๐๐ leo jumapili tutatupia na gospel kwa mbali. Tunakupitia pia mrembo...Mnaniachaje pekeangu walai uwiiii sikubareeeeeee namie nakujaaa๐๐๐๐!
Unajua unaniangusha sana!Ndio mwenyewe huyuuu๐ ๐๐!
Za kufichwa???
Huyo alokukamata mwambie asikuachiliee๐
hahaha shostito ako uyo Bantu Lady bana embu mzoom vizuri.Yelewiiiiiiiiiiiiiiii,๐๐๐๐๐!
Kapachino hakiii unakojoaa pazurees kinoumaaaaaa!
Na ampiano kiasiIla hatuweki taarabu, tutasikiliza Love songs tu ๐๐๐๐๐ leo jumapili tutatupia na gospel kwa mbali. Tunakupitia pia mrembo...
Bantu Yuko vizureeee Mtoto whiteeee!!๐๐๐ Shepu kama loutreeee๐๐Auwee!!hahaha shostito ako uyo Bantu Lady bana embu mzoom vizuri.
Afu mtoto haringiBantu Yuko vizureeee Mtoto whiteeee!!๐๐๐ Shepu kama loutreeee๐๐Auwee!!
๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐๐Tuliaaaa ivoivooooo !! Nakutafutia chombo kimoja kikareeee kibichiiiiiii ushindwe wewe tyuuu!๐คฃUnajua unaniangusha sana!
Mpaka Sasa nasubiria assist Yako bila bila;
Hapo tu ndio anaponimarrlizaga mtrotro haringii wala neneee mtoto yuko peace nakila Mtu!! Raha sana akii!Afu mtoto haringi
Wow lazima tutikisike na Amapiano full raha na burudani kama zote...Na ampiano kiasi
Kweriiiii kabisa taarab tupa kuleee!!๐ฎ๐ฎ๐ฎ๐ฎ!Ila hatuweki taarabu, tutasikiliza Love songs tu ๐๐๐๐๐ leo jumapili tutatupia na gospel kwa mbali. Tunakupitia pia mrembo...
Hapo hamtanitoa mbona ๐๐๐๐๐๐๐ Amapiano treeeinnnnaaahhh ๐๐๐Wow lazima tutikisike na Amapiano full raha na burudani kama zote...
Ndio Mana hata Mungu kamjalia nyama nyama za shawarmaHapo tu ndio anaponimarrlizaga mtrotro haringii wala neneee mtoto yuko peace nakila Mtu!! Raha sana akii!
Na ka wine kawe red au white ๐๐Naisubiria kwahamu hapa Mjomba ๐๐๐๐