Bantu Lady
JF-Expert Member
- Jan 9, 2014
- 9,871
- 32,689
Kapachino katika one and two ππππ ila tayari ushavuta hapo best π π π π π ndiyo tunajiandaa tunamalizia, kujipulizia unyunyu ...hahaha! Kwa mtoko wa leo kapachino hata cigarettes hata gusa! Nisije nikawaudhi watoto wazuri! hata kabla hamjaanza cheza ampiano
View attachment 2547671