Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Pole aisee wapi huko kuna joto hivyo. Leo nilipo hali ya hewa, ni nzuri sana mtu huitaji AC wala feni. Ingekuwa jana ningekwambia uje ufukweni. Leo napumzisha huu mwili home. Nile na kunywa vizuri kihomehome [emoji6][emoji6][emoji6]
Niko dar yenu hii ndani hakukaliki sisi wengine feni tuna haleji nazo kwa hio jasho linatoka tu
 
Back
Top Bottom